Mwenyekiti wa ccm tawi la bokorani lililopo kata ya mtoni wilaya ya Temeke mkoa wa Dar es salaam Mh JOSEPH YONA ambae amekuwa akiibuka na hoja zenye mashiko na kuelimisha jamii kuhusu mambo yanayo lihusu Taifa kupitia Gazeti la Mzarendo kipengele cha KURUNZI LA YONA
mwenyekiti huyo mwenye mitizamo chanya katika kuleta mabadiliko ya dhana iliyopo kati vichwa vya wengi kwamba ili uweze kutenda kazi za kuisaidia jamii ni razima uwe na nafasi kubwa ya uongozi yeye aliye kuwa akinukuliwa mara nyingi aisema NAFASI YA UWENYEKITI WA TAWI NI NZURI KATIKA KUIHUDUMIA JAMII KWANI NI RAISI KUKUTANA NA WANA JAMII
Katika KURUNZI LA YONA la wiki hii Mh Joseph yona amewageukia Mawaziri wote walio teuliwa tarehe 07 october, kwamba huu ni wakati wa wao kufanya kazi kwa uweridi mkubwa sana ili kuweza kulisaidia Taifa alisema, Rais ana imani kubwa na nyinyi lakini haina maana kama hakuna wengine zaidi yenu nyinyi hivyo ni wakati wenu wa kufanaya kazi bila kuwaza uchaguzi wa 2020
Mh Joseph Yona alisema fanyeni kazi wapuuzeni wanasiasa wenye mihemuko wasio jua thamani ya kuwatumikia wananchi wanao sahau kazi zao na kujikita katika siasa chafu za propaganda na uwanaharakati
kama anavyotaka Rais wetu JPM ndivyo mnavyotakiwa kufanya kazi achaneni na tamaa za urais kwa kukumbatia ubovu ili tu uonekane mwema mbele ya waovu hiii haitavumilika
pia Mh Joseph Yona amewaoma wananchi kumuunga mkono Rais JPM kwani juhudu zake katika kupambana na Uchumi wa taifa hili ni kubwa na vita ya kiuchumi ina hitaji sana kujitoa na kutoa na kutokuwawa na uwoga wa aina yeyote
chanzo ni GAZETI LA MZARENDO 08 OCTOBER 2017
Imeandaliwa na
chairman personal assistance
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Imekaa poa sana
ReplyDeleteMungu amtangulie
Imekaa poa sana
ReplyDeleteMungu amtangulie