Leo amezaliwa mtu niliyemuishi tokea nikiwa mdogo. 29.10.2017
Hakika Dr John Joseph Pombe Magufuli wewe ni zaidi ya kiongozi dhamira yako iendelee hivyo hivyo.
👉Nakumbuka Kuna Siku niliwahi kuwaambia viongozi wa chadema sanaa zenu hizi ipo Siku,na Leo wananyooka sanaa,mikelele isiyo na tija kwisha.
👉Nakumbuka nikiwa mdogo maeneo ya Buhemba,huko Butiama nilishuhudia Jeshi letu na shule ya msingi vikiondolewa na wananchi Tena kwa nguvu kumbe Kuna madini.
Madini yetu yalichimbwa Leo ni mashimo tu.
Ninapoona kiongozi aliyejitoa Kwa ajili ya madini na rasilimali zetu akia Mungu nitamlinda Kama mboni ya jicho langu.
👉Leo hii pamoja na mambo Mengine bado yanawekwa Sawa hasa TRA na Traffic wanyanyasaji wakuu wanaonea maskini .
Hata Hili lá TRA kumtumia YONO Kama Wakala wake siafiki.
Kwani Yono hawana Harufu ya walidi Kama serikali ya awamu ya tano.
👉Leo Kuna mambo yamefanyika na naamini mwakani muda Kama Huu makando kando Mengine yatashughulikiwa.
👉Lakini Kuna Mengine mkubwa yamefanyika Kuanzia na:-
Wala Rushwa.
Wakurugenzi walevi.
Watumishi Hewa.
Wapenda Mikutano ya Hadhara Kupiga kelele.
Wachochezi hasa wanasiasa na magazeti.
Wanaopenda kumpangia na kumjaribu.
Wakwepa Kodi.nk
Haya yoote yanaenda kuwa historia.
Lakini Pia maendeleo Makubwa Flying over,Ujenzi wa Reli ya Standard gauge,maji,nk
👉Lakini kubwa zaidi ukikaa ukamtafakari Dr Magufuli,pale alipochukua maamuzi magumu Kwa kuanzisha mradi wa Stiglers Gorge.
Hapa Ndo Napenda kuwaambia wenye akili za kushikiwa kuwa huwezi kuanzisha viwanda halafu huna umeme wa uhakika.
Mradi wa STIGLERS Unaenda kuondoa matatizo ya umeme nchini na viwanda vitajengwa na ajira za kumwaga zaja.
Hakika wewe Dr Magufuli umeletwa uiokoe Tanzania.
Kilichotokea Dodoma kinatafakarisha sana.
Happy birthday:-
👍Amiri jeshi Mkuu,Mkuu wa Nchi,Rais na mwenyekiti wa CCM taifa
Ni Joseph Yona
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: