UJUMBE WA IGP SIRRO KWA UMMA
Kamanda wa jeshi la polisi IGP Sirro leo ametoa taarifa kwa umma ikiwa ni katika kutoa uafafanuzi juu mambo yanayo endelea katika jamii na mitandao ya kijamii juu yanayo endelea barabarani
alisema kuwa watanzania inawapasa watambue kuwa jeshi la polisi linafanya kazi kwaajiri ya wananchi hivyo wananchi wanapaswa kuwa naimani kubwa sana kwa jeshi la polisi
lakini pia alitoa ufafanuzi katika mambo yafuatayo
1. Hakuna malengo ya makusanyo yaliyopangiwa jeshi la polisi na Hazina.
2. Kikubwa elimu.
3. Tunatoa pia adhabu ya onyo unasaini unapewa onyo usirudie.
4. Kitu tunachoweka sisi mbele ni elimu. Mf. Umemkuta ameongeza speed kidogo unamwambia si sahihi, hana insurance kabla ya kumuandikia notification aambiwe atafute insurance.
5. Hizi sheria zipo kwaajili ya usalama wetu sisi sote.
6. Pia tuangalia na mazuri ua usimamiaji wa kuhakikisha kila mtu anafuata sheria.
7. Busara itumike sana. Kwa jeshi jambo la kwanza katika kuzuia uhalifu ni elimu, sio enforcement.
8. Wakati mwingine...police officers sio malaika.
naimani watanzania watataendelea kushilikiana na jeshi la polisi ili kuhakikisha tanzana inakuwa salama alisema IGP SIRRO
About author: PAVEA BLOG
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: