Mwenyekiti wa baraza la vijana la CHADEMA Taifa (BAVICHA ) amejiunga na chama cha mapinduzi (CCM)
mwenyekiti huyo Patrobas Katambi ameachana rasmi na chadema ma kujiunga na ccm muda huu katika ufunguzi wa kikao cha halmashauri kuu ya ccm Taifa jijini dar es salaam
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: