katika kusherehekea sikukuu ya MAULID Managing Director wa PAVEA na Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi tawi la Bokorani Mh Joseph Yona anawatakia Waislamu sherehe njema
Aidha Mh Joseph Yona amesema ili kuweza kulijenga Taifa lenye kuweza kujitegemea kiuchumi kama Taifa linahitaji watu wenye hofu ya Mungu
Pia alitumia nafasi hiyo kuwataka Watanzania wote kumuunga mkono Rais JPM katka kupambana na vita ngumu ya kidunia ya uchumi
Alisisitiza Tanzania si mali ya Magufuli ni yetu wote ila yeye kapewa dhamana tu
Mh Joseph yona alisema nawaomba waislamu wote kusherehekea sikukuu hii kwa amani bila kuvunja sheria za Nchi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: