Keki Maalumu iliyoandaliwa na Azania Bank tawi la Moshi kwa ajili ya
Wateja wa Benki hiyo ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha wiki ya Huduma kwa
Wateja Duniani.
Wafanyakazi wa Azania Bank tawi la Moshi wakikata keki kwa pamoja kwa
ajili ya kushiriki na Wateja wao ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya Huduma
kwa Wateja inayoendelea.
Wafanyakazi wa Azania Bank tawi la Moshi wakiwa katika muonekano tofauti
ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya wiki ya Huduma kwa Wateja Duniani.
Mfanyakazi wa Azania Bank ,tawi la Moshi ,Aida Mbilinyi akimuelekeza
jambo mteja wa Benki hiyo Ibrahim Shoo alipofika katika tawi hilo kwa
ajili ya kupata huduma.
Mfanyakazi wa Azania Bank,tawi la Moshi,Asifiwe Musa akiwa ni mwenye
tabasamu wakati akitoa huduma kwa mmoja wa wateja wa Benki hiyo
waliofika kupata huduma.
Mfanyakazi wa Azania Bank,tawi la Moshi,Diana Ngaiza akimhudumia mmoja
wa wateja wa Benki hiyo waliofika kwa ajili ya kupatiwa Huduma za
kibenki.
Baadhi ya Wateja wakipata Huduma katika madirisha ya Huduma ndani ya Benki hiyo.
Meneja wa Azania Bank tawi la Moshi ,Bi Hajira Mmambe akiwalisha keki
baadhi ya Wateja waliofika kupata huduma katika Benki hiyo.
Wafanyakazi wa Azania Bank tawi la Moshi wakiwa katika picha ya pamoja nje ya jingo la Benki hiyo
0 comments: