Wafanyakazi wa Benki ya NMB tawi la Nelson Mandela mjini Moshi, wakiwa
katika muonekano mpya ikiwa ni sehemu ya maadhimish ya wiki ya Huduma
kwa Wateja inayoendelea sasa.
Meneja wa Benki ya NMB,tawi la Nelson Mandela ,Emmanuel Kishosha akiwa
katika muonekano tofauti na wafanyakazi wenzake wa tawi la hilo.
Baadhi ya Watumishi wa NMB ,tawi la Nelson Mandela wakiweka pozi baada
ya kuwa katika muonekano tofauti ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Wiki
ya Huduma kwa Wateja.
Wafanyakazi wa Kiume wa Benki ya NMB,tawi la Nelson Mandela mjini Moshi
wakiwa katika muonekano nadhifu tayari kupokea Wateja katika wiki hii ya
huduma kwa Wateja.
0 comments: