KIKAO CHA MKUTANO MKUU WA WILAYA YA TEMEKE CHA PAMBA MOTO

Pavea blog na DOTTO NAMANJI
 Hali ya hewa ni shwali katika chuo kikuu cha dar es salaam tawi la DUCE  ambapo Mkutano mkuu wa chama cha mapinduzi unafanyika ili kuchagua viongozi wa wilaya  watakao enda kushika gurudumu la kutekeleza matakwa ya chama  cha mapinduzi.


wajumbe wa mkutano mkuu wakiwa wamejitokeza kwa wingi wengine wakijiandikisha na wengine wakiwa wanazidi kuwasili katika ukumbi wa chuo kikuu cha Dar es salaam tawi la DUCE
Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi tawi la bokorani Mh Joseph yona ambae pia ni mjumbe wa mkutano mkuu wa wilaya Temeke nae akiwa amewasili ukumbini hapo akibadilishana mawazo na mjumbe mwenzake muda mchache kabla ya kuingia katika uchaguzi


mwenyekiti wa mtaa wa bustani Mh Hijja Makamba ambae pia nimgombea wa mjumbe mkutano mkuu Taifa akitia saini katika hati ya maudhulio mara baada ya kufika ukumbini na ni muda mchache kabla ya kuingia katika uchaguzi
Mgeni Rasmi wa mkutano huu Mh Kanali Lubinga kutoka makao makuu ya chama chA mapinduzi akiwa na jopo lake akiwasili ndani ya mkutano
Mgeni rasma kanali Lubinga akisaini kitabu cha wageni baada ya kuwasili katika ukumbi wa mkutano
mgeni rasmi Kanali Lubinga akihutubia mkutano mkuu mara tu baada ya kufunguliwa kwa mkutano na kuwataka wanachama wa chama cha mapinduzi kudumisha umoja na uzarendo katika uchaguzi ili kuwapata viongozi thabiti watakao enda kuisimamia selikali n kuiongoza katika kuleta maendeleo kwa wananchi
Mwenyekiti wa ccm tawi la bokorani na mjumbe halali wa mkutano mkuu wa wilaya Mh JOSEPH YONA akiwa na katibu wake wa tawi JUMA MTAMBO akimfwatilia vizuri mgeni rasmi ili kuhakikisha utekelezaji kwa yale yanayo agizwa



imeandaliwa na

DOTTO NAMANJI
Share on Google Plus

0 comments: